ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NENO LA SIKU | Mathayo 25 | Maombi Ya Kushinda Maziko Ya Kichawi | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2024-03-14

Просмотров: 6021

Описание: Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya ishirini na tano, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda maziko ya kichawi. Kuna watu wanatembea lakini katika ulimwengu wa roho maisha yao yamezikwa.

Kuna watu wanafanya kazi lakini katika ulimwengu wa roho baraka zao na hatima zao zimezikwa. Wanaishi na vifungo vya kiroho vinavyowafanya wateseke na hawajui wafanye nini ili waweze kushinda.

Katika maombi ya leo tunaenda kumsihi Mungu atufungue kutoka kwenye vifungo vinavyotokana na maziko ya kichawi. Tunaenda kutumia nguvu ya ufufuo wa YESU kufanya maombi na kushinda nguvu za wachawi.

Nakuombea Mungu akukumbuke na akuguse. YESU akuonekanie na akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda sasa na wakati wote. Amen

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NENO LA SIKU | Mathayo 25 | Maombi Ya Kushinda Maziko Ya Kichawi | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

NENO LA SIKU | Mathayo 26 | Maombi Ya Kuvunja Maagano Ya Damu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Yohana 13 | Maombi Ya Kufunguliwa Hatua za Maisha

ФАЙЛЫ ЭПШТЕЙНА. Сатанисты во власти. Христианский взгляд.  Иеромонах Нектарий (Соколов)

YUDA ISCARIOT HAKUA MSALITI//MSALITI ALIKUA  NANI?

KIJANA KUTOKA CONGO ALIYEKUFA  MSUKULE KWA MIAKA 3 NA KUFUFUKA AKIWA MZIMA AELEZA BIBI ALIVYOMUUA

USIKU MWEMA | Isaac Javan

USIKU MWEMA | Isaac Javan

TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

MWANAMKE ALIYETIKISA UONGOZI WA MAKANISA//MWANAMKE ALIYEJUA SIRI ZA YESU.🔥

NENO LA SIKU | Mathayo 23 | Maombi Ya Kutua Mizigo | Isaac Javan

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

MAOMBI YA KUONDOA LEVIATHAN (NYOKA ANAYEZUIA MAFANIKIO/KUSUDI)

NENO LA SIKU | Luka 3 | Maombi Ya Kutengeneza Njia Ya Maisha | Isaac Javan

Зеленая кровь Земли. Почему молекула Крапивы идентична нашей?

NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi  | Isaac Javan

KUKESHA NA KUMNGOJA BWANA, MATHAYO 25:1-13 WITH REV.JOEL OLALASHE FPFK CHURCH.

MAOMBI YA KUJITOA KWENYE  UGANGA WA KIENYEJI NA UCHAWI

NENO LA SIKU | Mathayo 28 | Maombi Ya Kushinda Uzushi | Isaac Javan

🎶Cleanse Your Home with Psalms of King David | Hebrew Worship Songs of Zion 🎶

Padre Dkt Kamugisha''Kwenye Ibada ya mazishi nawaambiaga kabisa, Naanzia pale Madaktari walikoishia'

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]