Trump adai China, Urusi na Korea Kaskazini wanapanga njama dhidi ya Marekani
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-09-03
Просмотров: 49888
Описание:
Rais wa Marekani Donald Trump amewashutumu viongozi wa Urusi, China na Korea Kaskazini kwa kupanga njama dhidi ya Marekani baada ya kuonekana pamoja hadharani kwa mara ya kwanza. Walialikwa Beijing na Rais Xi Jinping kutazama moja ya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini humo kuashiria ushindi wake dhidi ya Japan katika vita vya Pili vya dunia.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: