ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Lowassa Afunguka Alivyohojiwa na DCI, Aachiwa kwa Dhamana

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-06-27

Просмотров: 84019

Описание: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amefunguka kuhusu alivyohojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) ambapo baada ya kuhojiwa ameachiwa kwa dhamana na kuondoka makao makuu ya polisi majira ya saa 8.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuachiwa, Lowassa alisema aliitwa na polisi kutokana na hotuba yake aliyoitoa siku chache zilizopita, nyumbani kwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara kuhusu suala la mashehe wa uamsho wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa.
Lowassa alisema anawaomba wafuasi wake wote watulie na kuongeza kwamba ameambiwa arejee tena kwa mahojiano Alhamisi ya wiki hii.
Naye Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji, alisema kuwashikilia wafuasi wa uamsho kwa kipindi chote hicho, bila kupandishwa mahakamani ni makosa na ni kinyume na haki za binadamu. Akawaomba wafuasi wa Chadema na wapenda maendeleo, watulie katika kipindi hiki.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublishers  
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpublishers  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Lowassa Afunguka Alivyohojiwa na DCI, Aachiwa kwa Dhamana

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Lowassa akiwa ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya bunge

Lowassa akiwa ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya bunge

Mkuu wa DCI Mohamed Amin asema OCS Talaam ndiye mshukiwa mkuu katika mauaji ya Albert Ojwang

Mkuu wa DCI Mohamed Amin asema OCS Talaam ndiye mshukiwa mkuu katika mauaji ya Albert Ojwang

DCI wawakamata washukiwa zaidi katika uchunguzi wa mauaji ya mbunge wa Kasipul Ong'ondo Were

DCI wawakamata washukiwa zaidi katika uchunguzi wa mauaji ya mbunge wa Kasipul Ong'ondo Were

Waziri mkuu mstaafu Mh Lowassa atangaza kuondoka CCM na kujiunga rasmi Chadema.

Waziri mkuu mstaafu Mh Lowassa atangaza kuondoka CCM na kujiunga rasmi Chadema.

SHEIKH KISHKI AMTANGAZA WAZIRI MKUU MWIGULU KUWA MGENI MAALUM MASHINDANO ya KUHIFADHI QURAN...

SHEIKH KISHKI AMTANGAZA WAZIRI MKUU MWIGULU KUWA MGENI MAALUM MASHINDANO ya KUHIFADHI QURAN...

Washukiwa wa magari eneo la Utawala wakamatwa na DCI

Washukiwa wa magari eneo la Utawala wakamatwa na DCI

INAUMA! KIFO CHA BABA GIDION - BIBI ALIKAMATWA KISA KUKATWA MIKONO MTOTO - KAKA ASIMULIA KILA KITU

INAUMA! KIFO CHA BABA GIDION - BIBI ALIKAMATWA KISA KUKATWA MIKONO MTOTO - KAKA ASIMULIA KILA KITU

ILETENI RICHMOND NIKO TAYARI KUACHIA UWAZIRI, DK MWAKYEMBE

ILETENI RICHMOND NIKO TAYARI KUACHIA UWAZIRI, DK MWAKYEMBE

Chiny i Rosja rzuciły Iran wilkom na pożarcie. Czy Iran przetrwa starcie z USA?

Chiny i Rosja rzuciły Iran wilkom na pożarcie. Czy Iran przetrwa starcie z USA?

AWANS W 98. MINUCIE! CUD W BERGAMO PEŁEN DRAMATURGII! ATALANTA - BORUSSIA, SKRÓT MECZU

AWANS W 98. MINUCIE! CUD W BERGAMO PEŁEN DRAMATURGII! ATALANTA - BORUSSIA, SKRÓT MECZU

Mpango wa INUA JAMII kuwapa pesa wazee, walemavu na mayatima

Mpango wa INUA JAMII kuwapa pesa wazee, walemavu na mayatima

Inspekta jenerali akosa kufika mahakamani kama alivyoagizwa

Inspekta jenerali akosa kufika mahakamani kama alivyoagizwa

KAFULILA AMLILIA KARDINALI PENGO-AFUNGUKA MAZITO MSIBANI -AGUSIA NAFASI ya VIONGOZI wa DINI na SIASA

KAFULILA AMLILIA KARDINALI PENGO-AFUNGUKA MAZITO MSIBANI -AGUSIA NAFASI ya VIONGOZI wa DINI na SIASA

BABU wa GIDEON ASIMULIA MATESO ALIYOPITIA MJUKUU WAKE - AKANUSHA BIBI KUHUSIKA...

BABU wa GIDEON ASIMULIA MATESO ALIYOPITIA MJUKUU WAKE - AKANUSHA BIBI KUHUSIKA...

Mbowe Afunguka A-Z Safari ya Lowassa Kurejea CCM

Mbowe Afunguka A-Z Safari ya Lowassa Kurejea CCM

Mh. Edward Lowassa akaribishwa ofisini baada ya kupitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu

Mh. Edward Lowassa akaribishwa ofisini baada ya kupitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu

CHADEMA KUHUSU LOWASSA KUGOMBEA UBUNGE MONDULI

CHADEMA KUHUSU LOWASSA KUGOMBEA UBUNGE MONDULI

LOWASSA AKIPOKEA TIMU YA TAIFA BUNGENI

LOWASSA AKIPOKEA TIMU YA TAIFA BUNGENI

Duh Hatma! KESI YA LISSU RIPOTI NZITO LEO | JAMHURI WAKOKI MASHAMBULIZI WAKILI ATEMA NYONGO

Duh Hatma! KESI YA LISSU RIPOTI NZITO LEO | JAMHURI WAKOKI MASHAMBULIZI WAKILI ATEMA NYONGO

Zitto kabwe na Edward Lowassa msibani Arusha

Zitto kabwe na Edward Lowassa msibani Arusha

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]