Ghasia Za Tana River
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2013-01-14
Просмотров: 2057
Описание: Viongozi kutoka eneo la Tana River sasa wameamuwa kutafuta suluhu ya kisiasa kwa ghasia ambazo zimeshuhudiwa katika eneo hilo kwa takriban miezi mitano sasa. Viongozi hao wameamua kufanya mikutano ya pamoja ili kuziunganisha jamii za Pokomo na Orma zinazozozana. Haya yanajiri huku makundi ya kutetea haki za waislamu yakifanya maandamano mjini mombasa wakitaka kupigwa kalamu kwa waziri wa usalama Katoo Ole Metito.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: