Viongozi wa eneo la Tana wafanya kikao cha amani
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2013-01-27
Просмотров: 260
Описание: Kitengo cha ujasusi, kinaendelea kulaumiwa vikali kwa kutokekeleza majukumu yake vilivyo, katika eneo la Tana Delta.Viongozi wa kiasiasa kutoka jamii za orma na pokomo, hii leo walifanya kikao cha faragha, na moja kati ya maswala yaliyojadiliwa, ni kile wanachodai kuwa uzembe kwa upande wa ujasusi kutopitisha habari kwa idara husika za polisi kabla ya mashambulizi yaliotokea wiki hii katika vijiji vya Nduru na Kibisu. Aidha, viongozi hao wamesema kwamba, mipango ya dharura inaendelea kuanzisha kampeni za nyumba hadi nyumba, katika eneo hilo kuhubiri amani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: