Mtu mmoja afariki na wengine 13 kujeruhiwa Mlango Kubwa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-05-16
Просмотров: 7349
Описание:
Mtu mmoja afariki na wengine 13 kujeruhiwa Mlango Kubwa
Wakazi wa mtaa huo walizua ghasia siku nzima kupinga kifo hicho
Kifo hicho kinadaiwa kusababishwa na mzozo wa eneo la kazi kati ya wakazi
Wakazi wa Mlango Kubwa waliwashambulia polisi waliotumwa kuzima ghasia
Polisi wamewakamata watu 40 wakihusishwa na ghasia hizo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: