Watu wanne akiwemo polisi walifariki jana Nairobi na Kisumu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-03-31
Просмотров: 25748
Описание: Familia moja mtaani Kayole inaomboleza kifo cha mwana wao anayedaiwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi hapo jana wakati wa maandamano. Derick Nyambanga alipigwa risasi kichwani na kufariki papo hapo, japo hakuwa akishiriki maandamano hayo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: