MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TANGA ATIMIZA AHADI YAKE MKINGA.
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2023-02-28
Просмотров: 558
Описание:
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajabu Abdalah ametimiza ahadi yakeya mifuko mia moja ya saruji aliyoahodi wakati wa ziara ya mlezi wa chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga na Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi ya zanzibar Hemed Suleiman Abdullah alipotembelea kuona Ujenzi wa ofisi ya CCM wilaya hiyo unavyoendelea
Akizungumza wakati wakukabidhi mifuko ya saruji Mwenyekiti wa CCM mkoa amewataka viongozi kuhakikisha wanashiriki katika kutatua matatizo ya wananchi na kuwaletea maendeleo katika maeneo yao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: