SERIKALI INAMKAKATI WA KUONGEZA UWEZO WA KIUSHINDANI BANDARI YA TANGA
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 117
Описание:
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba amefanya ziara katika bandari ya Tanga kukagua shughuli za bandari hiyo na Kisha kuzungumza na watumishi.
Akiwa bandarini hapo Waziri mkuu alipokea taarifa ya uboreshaji wa bandari eneo zitakazo jengwa gati mbili mpya ikiwa ni mikakati ya serikali ya kuiongezea uwezo ili bandari iweze kutoa huduma shindani na za ufanisi
Katika kikao na watumishi wa bandari Tanga waziri Mkuu amesema Serikali itazifanyia kazi changamoto za watumishi katika bandari hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: