UDA yatinga ushindi kwa viti vyote vinne katika uchaguzi mdogo
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 1994
Описание: Chama cha UDA kimetawala katika chaguzi ndogo ziliozofanyika Alhamisi, kwa kupata viti vyote vinne vilivyokuwa vikiwaniwa. Katibu mkuu wa chama hicho, Hassan Omar, amesema kuwa ushindi huo unaonyesha ubabe wa chama hicho mashinani na kueleza imani ya wapiga kura kwa Rais William Ruto
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: