WALIOKUWA WAKITEMBEA UMBALI MREFU KUFUATA HUDUMA ZA AFYA, WAPEWA KITUO CHA AFYA.
Автор: RS Shinyanga
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 42
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, RC Mboni Mhita, ametembelea Kituo cha Afya Ihapa kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi pamoja na vifaa vya kisasa vilivyonunuliwa kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi.
Katika ziara hiyo, RC Mhita aliwahimiza wananchi na wakazi wa Ihapa ambao awali walilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya, sasa kutumia kituo hicho kupima afya zao mara kwa mara, ili magonjwa yanayoweza kujitokeza yagundulike na kutibiwa mapema.
Afya bora ni msingi wa maendeleo ya jamii. 🏥✨
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: