WAZIRI ALIVYOPIGA SIMU 116 AKIJIDAI RAIA MWEMA, MHUDUMU HAKUJUA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-11-30
Просмотров: 113058
Описание: Ilikua kwenye maadhimisho ya siku ya Mtoto duniani yaliyoandaliwa na UNICEF Tanzania huku Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akialikwa kama Mgeni rasmi, kwenye kuelezea ishu za Watoto aligusia namba 116 ambayo ni namba ya bure popote ulipo Tanzania unaweza kuipiga kuomba msaada pale ambapo unaona Mtoto amefanyiwa ukatili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: