Msichana wa shule ashambulia kwa kisu walimu waliomuadhibu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-01-12
Просмотров: 24126
Описание: Polisi mjini Kisii wanamzuilia mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyeripotiwa kuwadunga kisu walimu wawili shuleni. Mwanafunzi huyo wa kike wa shule ya upili ya kitaifa ya Kisii anadaiwa kuwashambulia wawili hao alipotakiwa kujieleza kuhusu kisa cha utovu wa nidhamu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: