Watuhumiwa 23 wa utapeli wa ajira wadakwa Tabora
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-07-11
Просмотров: 1733
Описание:
Watu 23 ambao ni baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Alliance in Motion Global, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Tabora kwa tuhuma za kufanya udanganyifu kwa vijana zaidi ya 100 ambao walipigiwa simu kutoka mikoa ya Manyara, Arusha, Singida, Dodoma na Morogoro kwa lengo la kuwapatia ajira zenye mshahara mnono, badala yake wakatapeliwa.
Akizungumza na Mwananchi leo Julai 11, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Deusdedit Katwale amesema wamefikia uamuzi huo baada ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kubaini kuwa vijana hao wanahangaika baada ya kutapeliwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: