ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Tume: Mfumo wa Matumizi Mseto ya Ardhi Ngorongoro Sio Endelevu, Sheria Ifanyiwe Marekebisho

Автор: The Chanzo

Загружено: 2026-03-12

Просмотров: 1014

Описание: Dodoma. Tume ya Rais iliyoundwa kuangalia masuala ya ardhi katika eneo la Ngorongoro imependekeza uwepo wa sheria rasmi itakayohakikisha uhamaji endelevu kutoka Ngorongoro.

Tume hiyo iliyozinduliwa rasmi Februari 20, 2025, ikiongozwa na Jaji Gerald Ndika, iliundwa kufuatia mgogoro wa ardhi unaoendelea kutoka katika jamii ya wamasai ambao ni wakazi wa Ngorongoro.

Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa wakazi hao wa eneo la Ngorongoro kuhama ikieleza dhima kubwa ni kulinda uhifadhi; jamii hiyo imeendelea kuonesha kuwa maeneo hayo ni makazi yao ya asili, na uwepo wao hauna athari hasi katika mazingira hayo.

Akisoma mapendekezo ya Tume hiyo leo Machi 12, 2025, huko jijini Dodoma, Mwenyekiti wa Tume hiyo ameeleza kuwa mfumo wa matumizi mseto ya ardhi ndani ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro siyo endelevu.

"Inapendekezwa Sheria ya Hifadhi ya Ngorongoro sura 284 ifanyiwe mapitio na marekebisho kwa kuwashirikisha wadau wote muhimu ili iendane na wakati na mahitaji ya sasa," ameeleza Mwenyekiti wa Tume hiyo.

Na kuongeza: "Ili kuimarisha ustawi wa jamii na uhifadhi endelevu shughuli zisizo za kiuhifadhi zitekelezwe nje ya eneo la hifadhi."

Tume hiyo imependekeza pia serikali kutoa vibali maalum vya wakazi wa eneo hilo na pia kufanya suala la kuhama kuwa endelevu na la kisheria.

"Uhamaji katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro uwe endelevu na uwekewe msingi wa kisheria," Mwenyekiti wa Tume hiyo Gerald Ndika anaeleza.

Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Tume: Mfumo wa Matumizi Mseto ya Ardhi Ngorongoro Sio Endelevu, Sheria Ifanyiwe Marekebisho

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Tume ya Matumizi ya  Ardhi Ngorongoro, Yasema Matumizi ya Ardhi Mseto Siyo Himilivu, 'Kuna Hofu'

Tume ya Matumizi ya Ardhi Ngorongoro, Yasema Matumizi ya Ardhi Mseto Siyo Himilivu, 'Kuna Hofu'

Министр Маконда дал 24 часа на отстранение Хашима Табита от должности.

Министр Маконда дал 24 часа на отстранение Хашима Табита от должности.

Zoezi la kuhamisha wananchi Ngorongoro: Tume yasema malalamiko ya wananchi ni ya msingi

Zoezi la kuhamisha wananchi Ngorongoro: Tume yasema malalamiko ya wananchi ni ya msingi

Alichokisema Rais Samia Suluhu Hassan Baada ya Kupokea Ripoti za Tume  Kuhusu Sakata la Ngorongoro

Alichokisema Rais Samia Suluhu Hassan Baada ya Kupokea Ripoti za Tume Kuhusu Sakata la Ngorongoro

Молодой человек плакал на улице и утверждал, что его друзья взяли с него 10 тысяч шиллингов: «У м...

Молодой человек плакал на улице и утверждал, что его друзья взяли с него 10 тысяч шиллингов: «У м...

#LIVE | Rais Samia Anapokea Taarifa ya Tume ya Rais Kuhusu Mgogoro wa Ngorongoro na Watu Kuhamishwa

#LIVE | Rais Samia Anapokea Taarifa ya Tume ya Rais Kuhusu Mgogoro wa Ngorongoro na Watu Kuhamishwa

TAARIFA YA HABARI WIKIENDI  - AZAM TV - 13/03/2026

TAARIFA YA HABARI WIKIENDI - AZAM TV - 13/03/2026

🔴#LIVE: ROSTAM AZIZ ANAFUNGUKA KUINUNUA KAMPUNI YA NATION MEDIA GROUP

🔴#LIVE: ROSTAM AZIZ ANAFUNGUKA KUINUNUA KAMPUNI YA NATION MEDIA GROUP

Kisa  BAWACHA,Wakili Ngonde Amvaa RPC Mkoa wa Mara

Kisa BAWACHA,Wakili Ngonde Amvaa RPC Mkoa wa Mara

Rostam Aziz Addresses His Ties with Ruto, Says He Is Closer to Uhuru Kenyatta.

Rostam Aziz Addresses His Ties with Ruto, Says He Is Closer to Uhuru Kenyatta.

"KUNA MAKOSA TULIFANYA ZOEZI LA KUHAMISHA WAKAZI NGORONGORO" RAIS SAMIA, ATOA MAAGIZO HAYA

"BAADHI YA NG'Os NGOROGORO ZINASHAWISHI WAKAZI KUPINGANA NA MIFUMO RASMI YA SERIKALI" TUME

MKE WA PROFESA JANABI, SOPHIA BYANAKU AFUNGUKA NAMNA ALIVYOKUTANA NA JANABI MIAKA 18 ILIYOPITA

MKE WA PROFESA JANABI, SOPHIA BYANAKU AFUNGUKA NAMNA ALIVYOKUTANA NA JANABI MIAKA 18 ILIYOPITA

AMVUNJA MBAVU! MAKONGORO NYERERE AMSIMAMISHA MKE wa WAZIRI MKUU MWIGULU -

AMVUNJA MBAVU! MAKONGORO NYERERE AMSIMAMISHA MKE wa WAZIRI MKUU MWIGULU -"TUNAKUTAMANI MPO WACHACHE"

Polisi kupiga mabomu Kanisani ni kututonesha vidonda vya Oktoba 29

Polisi kupiga mabomu Kanisani ni kututonesha vidonda vya Oktoba 29" Askofu Msonganzila

Wanasheria Wajitosa Sakata la Ngorongoro, Mwabukusi Aelezea Hatua Zinazofuata.

Wanasheria Wajitosa Sakata la Ngorongoro, Mwabukusi Aelezea Hatua Zinazofuata.

Nyoka Aibuka Kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu- Mama Akielezea Binti Alivyouwawa na Kuzikwa Sumbawanga

Nyoka Aibuka Kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu- Mama Akielezea Binti Alivyouwawa na Kuzikwa Sumbawanga

#LIVE: NGORONGORO YAITIKA, LISSU ANAKIWASHA MUDA HUU BILA HOFU WALA WOGA

#LIVE: NGORONGORO YAITIKA, LISSU ANAKIWASHA MUDA HUU BILA HOFU WALA WOGA

Walioshtaki BAKWATA Wakanusha Kufadhiliwa na TEC

Walioshtaki BAKWATA Wakanusha Kufadhiliwa na TEC

Miaka 60 ya Ngorongoro -  Ilipokuwa, ilipo na inapoelekea. #Miaka60yaNgorongoro

Miaka 60 ya Ngorongoro - Ilipokuwa, ilipo na inapoelekea. #Miaka60yaNgorongoro

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]