WEDNESDAY NIGHT LIVE 25/02/2026 | Mapinduzi ya mchezo wa Netiboli Tanzania; Irene Haule & Kasomfi
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 70
Описание:
Ndani ya studio yupo Afisa Habari wa Chama cha Netiboli Mkoa wa Dar es Salaam (CHANEDA), Irene Haule (#IKTheHost) , pamoja na mdau wa mdau wa michezo, Fortunatus Kamsofi.
Kubwa na mipango na mikakati ya mipya ya kuing'arisha netiboli Tanzania ambapo Kamsofi anatoa ushuhuda na uzoefu wake kutoka nchini Afrika Kusini.
Lakini pia anasimulia safari ya mchezo wa netiboli Tanzania tangu miaka ya nyuma, siri ya mafanikio yake, na sababu za kuudidimiza mchezo huo...
Irene Haule anaeleza atakachokifanya kwa nafasi yake kuutangaza na kuung'arisha mchezo huo...
Wednesday Night Live ni kila Jumatano saa 1:30 usiku #AzamSports3HD
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: