MWANAMKE ALIEFUNDISHA SHULE ZA INTERNATIONAL, KAACHA NA KUWA DEREVA BAJAJI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2019-03-26
Просмотров: 21137
Описание: Irene Mahali ni Mama wa familia ya mume na Watoto wawili na makazi yake ni Dodoma, Baada ya kuhitimu elimu yake ya Chuo alifanya kazi ya Ualimu kwa miaka 6 kwenye shule za binafsi na baadae aliamua kuacha na kujiajiri mwenyewe kwa kubeba abiria kwa kutumia bajaji yaani Dereva bajaji kituo cha Tanesco Dodoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: