ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS MAENDELEO YA VIJANA MHE. JOEL NANAUKA WILAYANI MISSENYI
Автор: MISSENYIDC
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 53
Описание:
Katika ziara hiyo Mhe. Joel Nanauka ametembelea kiwanda cha chaki na kiwanda cha kuzalisha unga wa lishe vilivyopo katika Kata ya Mutukula Wilayani Missenyi.
Sambamba na hilo pia amegawa vifaa mbalimbali vya kujikwamua kiuchumi kwa vikundi vya vijana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: