Ice cream za Bakhresa kuzalisha ajira Newala, Mtwara
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-09-02
Просмотров: 1406
Описание:
Zaidi ya ajira 100 zinatarajiwa kupatikana kufuatia kuwasili kwa bidhaa za ICE CREAM zinazozalishwa na Kampuni ya Bakhresa Group ambazo zitawanufaisha vijana wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara baada ya kuwepo kwa ongezeko la usambazaji wa bidhaa hizo katika mikoa ya kusini.
#icecream #ajira #usambazaji #@bakhresagrouplimited
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: