FAHAMU:Utengenezaji wa Azam Ukwaju Ice Lolly hufanyika hivi
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-06-22
Просмотров: 15838
Описание:
Azam Ukwaju Ice Lolly zimepata umaarufu mkubwa kwa wateja kote nchini Tanzania na nje ya nchi.Bidhaa hii inayotumia ukwaju halisi inapendwa na watoto pamoja na wakubwa, inatumia ukwaju halisi kabisa. Lakini huenda unajiuliza ukwaju chapa Azam hupitia hatua zipi kuanzia mwanzo hadi mwisho katika kiwanda cha Bakhresa Food Products? Tazama hapa uone hatua zote hadi ukwaju unapoingia mtaani.
#UkwajuIceCream #SSB #BakhresaFoodProducts #MagomeniIceCream #UkwajuIceLolly #bakhresa
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: