Hoja mpya zaibuliwa ubunge viti maalum
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-03-06
Просмотров: 96
Описание:
Hoja ya ukomo wa muda kwa wabunge wa viti maalumu imeendelea kupata mtazamo mpya kila kukicha ambapo mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Anna Abdallah amependekeza kutungwa kwa sheria itakayoweka bayana ukomo wa ubunge wa viti maalumu ili kutoa nafasi kwa wabunge hao kwenda kugombea majimboni.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: