Watia nia ubunge Pwani wafikia 221
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2020-07-16
Просмотров: 708
Описание:
#Pwani #Bagamoyo #UchaguziMkuu2020 #Kibaha #Ubunge
Ikiwa imesalia siku moja kufunga pazia la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi mbali mbali za uongozi, idadi ya wanachama wa CCM ambao wamejitokeza kuwania katika ngazi za ubunge wa jimbo, na viti maalumu imefikia watu 221 katika majimbo tisa ya Mkoa wa Pwani @DailyNewsDigital
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: