Ngoma ya asili ya Mbuutu -Hija Kishomberwa
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 123
Описание:
PICHA JONGEFU - MISA YA HIJA MINZIRO
▪︎ Ngoma ya asili ya Kiganda ya Mbuutu, ilivyo sherehesha wakati wa kutoa vipaji, katika adhimisho la sadaka ya Misa Takatifu ya Hija, kutoka katika Kituo cha Hija kwa Heshima ya Mtakatifu Yohane Maria Muzeeyi - Kishomberwa, Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki Bukoba.
▪︎ Misa Takatifu imeadhimishwa Januari 25 2026 na Mhashamu Jovitus Mwijage, Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, akishirikiana na Mhashamu Method Kilaini Askofu Msaidizi mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: