Tanzania yafanya tafiti tatu za chanjo ya VVU, matokeo ‘kuanikwa’ 2020/ 2021
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-12-18
Просмотров: 5126
Описание:
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu NIMR mkoani Mbeya kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani inaendesha tafiti tatu za Chanjo ya Virusi Vya Ukimwi VVU na matokeo yake yatawekwa hadaharani ifikapo mwaka 2020/2021.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: