Jinsi ya kuanzisha biashara ya stationery: mtaji milioni 3 unatosha?
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-06-25
Просмотров: 345
Описание:
Nimekuwa napata maswali mengi kutoka kwa wadau wakitaka kufahamu mtaji wa kuanzisha biashara ya stationery
Kutosha au kutotosha kwa mtaji wa kuanzisha biashara ya stationery hutegemea vigezo vya mtaji na mahitaji ya anayetaka kuanzisha biashara ya stationery
Kipindi cha leo cha Dira ya Ujasiriamali nitaeleza kama mtaji wa milioni 3 unatosha kuanzisha biashara ya stationery
Tan Business Channel ina husika na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara. Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara.
Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara.
Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja.
Tuna sisitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao.
Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara. Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara.
Kuhusu kuendeleza biashara tunafundisha umuhimu wa kutengeneza plan na kuwa na mifumo mizuri ya kuendesha biashara
Tan Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: