Fahamu jinsi ya kutambua fursa 7 za kuanzisha biashara ya stationery
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2024-11-14
Просмотров: 143
Описание:
Jinsi ya kutambua fursa 7 za kuanzisha biashara ya stationery
Usianzishe biashara kabla ya kutambua fursa ya kufanya biashara unayotaka kuanzisha
Je,unafahamu jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara?
Kipindi cha leo cha Dira ya Ujasiriamali nitaeleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara ya stationery
Hii ni Tan Business Channel Online TV ikitangaza kutoka Dar es Salaam
Mimi ni mtangazaji wa kipindi Ali Mwambola
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: