Vinasaba vya wazazi vinavyoweza kusababisha ugonjwa wa Selimundu kwa Mtoto
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 57
Описание: Daktari wa Magonjwa ya Binadamu, Isihaka Mahawi, amesema ugonjwa wa selimundu si ugonjwa unaoambukiza bali hurithiwa kutoka kwa wazazi wote wawili, na huathiri chembechembe nyekundu za damu. Kwa elimu zaidi kuhusiana na ugonjwa huu ungana nasi katika kipindi hiki ili ufahamu mengi zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: