HOJA MEZANI | Jinsi mabadiliko ya riba ya Benki Kuu yanavyoweza kuathiri uchumi wa Taifa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 530
Описание:
Mchambuzi wa uchumi, Ally Mkimo, amesema mabadiliko ya kiwango cha riba cha Benki Kuu (CBR) yana mchango mkubwa katika kuleta athari chanya na hasi kwa jamii, kutegemea mwelekeo wa riba hiyo iwe inapanda au kushuka.
Ungana nae kujua mada hii kiundani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: