Changamoto za Watumishi walioko kwenye ndoa kuhama hama yaibuliwa Bungeni; Serikali yatoa neno
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-06-08
Просмотров: 1005
Описание:
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kuwa watumishi wanakumbana na changamoto nyingi zinazowalazimisha kuhama kutoka eneo moja kwenda lingine hasa wanandoa.
Simbachawene ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 08, 2023 bungeni Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo amesema kuwa watumishi wa namna hiyo hawawezi kufanya kazi kwa ufanisi kwasababu muda mwingi wanafikiria juu ya wenza wao kuwa mbali na hivyo kuahidi kuwa watatafuta namna ya kulifanyia kazi suala hilo bila kuvunja umoja na mshikamano wa taifa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: