E/HABARI 11 - IKULU CHAMWINO YAPOKEA BARAKA YA MTOTO BAADA YA RAIS SAMIA KUMUASILI
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 165
Описание: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: