TSN YAANZA KWA KISHINDO CHA 100, UPANDAJI MITI DAR
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 86
Описание:
TEMEKE, Dar es Salaam: MENEJIMENTI ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Asha Dachi, imejumuika na walimu, wanafunzi na watumishi wa Shule ya Msingi Bahati ndano ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam kwa kupanda miti 100.
Zoezi hili limefanyika leo Januari 26 ikiwa ni ni sehemu ya jitihada za kuimarisha ulinzi wa mazingira kwa maendeleo endelevu ya Taifa.
Kauli mbiu ya zoezi hili ni ‘Uzalendo ni Kutunza Mazingira, Shiriki Kupanda Miti’. Zoezi hili pia litafanyika kesho, Januari 27 ikiongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, sambamba na kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
TSN imeishukuru Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) @tfs_easternzone kwa kufadhili miche ya miti iliyotumika katika zoezi hili. 🌳
#27YaKijani #MtiWaMama #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #MazingiraNiUtu
#HabarileoUPDATES
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: