ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

EPISODE 28 ( 19/2/2026 ) : PATACHIMBIKA TUNDU LISSU AMUANIKA VIBAYA SHAHIDI BODABODA KUTOKA MBEYA

Автор: UHURU MEDIA ONLINE

Загружено: 2026-02-19

Просмотров: 47123

Описание: LIVE UPDATES MOJA KWA MOJA KUTOKA MAHAKAMANI EPISODE YA 28 KESI YA UBAINI INAYOMKABILI MWENYEKITI WA CHADEMA MH TUNDU LISSU
​Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Alhamisi Februari 19, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo mashahidi mbalimbali wa Jamhuri wameendelea kutoa ushahidi wao Mahakamani hapo.
​Kesi hiyo Na. 19605/2025 inayosikilizwa mfululizo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru, awali imeshuhudiwa Mahakamani hapo Askari Polisi mpelelezi H. 937 Detective Koplo Vicent akitoa ushahidi wake, akiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu Ignas Mwinuka.
​Shahidi wa pili (2) kwa siku ya leo kutoa ushahidi wake, ambaye ni shahidi wa 13 kwa ujumla wake katika muendelezo wa mashahidi wa Jamhuri ni shahidi wa siri (P3), shahidi huyu ametoa ushahidi wake akiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu Ajuwaye Nzengeli.
​Akiwa chini ya kiapo kama ilivyo ada, P3 ameieleza Mahakama kuwa yeye ana umri wa miaka 35, Dini yake ni Muislamu, na kwa takribani miaka minane (8) sasa amekuwa akijishughulisha na uendeshaji wa Bodaboda.
​Shahidi huyu ambaye ameieleza Mahakama kuwa ni Mkazi wa Mtaa wa Mtengule, Halmashauri ya Jiji la Mbeya, amesema yeye ni mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuanzia mwaka 2021 mpaka sasa, na kwa muda wote huo amekuwa akishiriki kikamilifu matukio na shughuli mbalimbali za chama hicho zinazofanyika mkoani Mbeya.
​Anasema anakumbuka mwaka 2024 alishiriki kwenye maandamano ya CHADEMA yaliyofanyika Mbeya, ambapo yeye alishiriki kwenye msafara wa maandamano uliioongozwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa wa wakati huo Freeman Mbowe.
​Tukio lingine analokumbuka linalohusiana na CHADEMA ni kongamano lililoandaliwa la vijana (BAVICHA) lililopaswa kufanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ruanda-Nzovwe, lakini kwa bahati mbaya kwao kongamano hilo halikufanyika kwa sababu serikali ililizuia. Huu ni ushahidi ambao fatilia mwamzo mwisho updates hii hapa uhuru online media kuelewa kilichotokea mahakamani leo.
#mahakamani #tundulissu #chadema

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
EPISODE 28 ( 19/2/2026 ) : PATACHIMBIKA TUNDU LISSU AMUANIKA VIBAYA SHAHIDI BODABODA KUTOKA MBEYA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAREKANI HANA PAKUTOKEA | WANAJESHI WA RUSSIA WAMEANZA MAZOEZI NA IRAN, MAREKANI WAMESOGEZA MELI

MAREKANI HANA PAKUTOKEA | WANAJESHI WA RUSSIA WAMEANZA MAZOEZI NA IRAN, MAREKANI WAMESOGEZA MELI

KIMENUKAA

KIMENUKAA "DUDU BAYA amlipua Mr Nice amtaja chief godlove yupo nyuma ya pazi kenya

NURUVAZI AKIRI KWAMBA LAZIMA KUWAMALIZA POLISI NA UVCCM

NURUVAZI AKIRI KWAMBA LAZIMA KUWAMALIZA POLISI NA UVCCM

EPISODE 30 ( 20/2/2026) : TUNDU LISSU AKASIRIKA

EPISODE 30 ( 20/2/2026) : TUNDU LISSU AKASIRIKA " KAZI YANGU NIKUKAMATA WATU WAONGO KAMA WEWE "

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

Hatma! KESI YA LISSU RIPOTI NZITO LEO | WAKILI AFUNGUKA

Hatma! KESI YA LISSU RIPOTI NZITO LEO | WAKILI AFUNGUKA

AMBOKILE: YANGA WAKIITAKA MECHI UMEUMIA SIMBA BILA ADABU GWANTANAMO ZNZ WANAKUFA GOLI 3 OKELLO

AMBOKILE: YANGA WAKIITAKA MECHI UMEUMIA SIMBA BILA ADABU GWANTANAMO ZNZ WANAKUFA GOLI 3 OKELLO

DUDUBAYA APEWA MAKAVU NA MENEJA DING'ANO BAADA YA KUSEMA HARMONIZE AMEPOTEA KIMUZIKI NO KIMATAIFA

DUDUBAYA APEWA MAKAVU NA MENEJA DING'ANO BAADA YA KUSEMA HARMONIZE AMEPOTEA KIMUZIKI NO KIMATAIFA

"KAA CHINI WEWE" Lissu Alivyokalishwa kwa Lazima Akikomaa Kujitetea

GODFREY Polepole Ampiga Rais Samia Kwenye Mshono. Kanali Augustino Pia Aongea.

GODFREY Polepole Ampiga Rais Samia Kwenye Mshono. Kanali Augustino Pia Aongea.

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

EPISODE 29 (19/2/2026): KILICHOTOKEA WAKATI SHAHIDI WA 14 (P9) AKITOA USHAHIDI WAKE KESI YA LISSU

EPISODE 29 (19/2/2026): KILICHOTOKEA WAKATI SHAHIDI WA 14 (P9) AKITOA USHAHIDI WAKE KESI YA LISSU

MANGUNGU AFUNGUKA MAZITO YALIYOMO SIMBA BAADA YA MAREKEBISHO YA KATIBA KUTOKA BMT.

MANGUNGU AFUNGUKA MAZITO YALIYOMO SIMBA BAADA YA MAREKEBISHO YA KATIBA KUTOKA BMT.

RUGEMARILA ATOBOA : SIRI IMEVUJA KAMANDA MULIRO NA MAFWELE KUWA KIMYA MUDA MREFU TANGU OCT.29.

RUGEMARILA ATOBOA : SIRI IMEVUJA KAMANDA MULIRO NA MAFWELE KUWA KIMYA MUDA MREFU TANGU OCT.29.

GARI LIMEWAKA SIMBA SC | GEOFREY KABURU AFUNGUKA KUHUSU KATIBA.

GARI LIMEWAKA SIMBA SC | GEOFREY KABURU AFUNGUKA KUHUSU KATIBA.

CCM inaligeuza Baraza kuwa 'syndicate' - Prof. Omar | GUMZO MAALUM

CCM inaligeuza Baraza kuwa 'syndicate' - Prof. Omar | GUMZO MAALUM

Атака на кортеж правительства / Заговор против президента

Атака на кортеж правительства / Заговор против президента

EPISODE 22: TUNDU LISSU AMBANA SHAHIDI FUNDI UMEME HADI AMEKIRI POLISI WALIDANGANYA

EPISODE 22: TUNDU LISSU AMBANA SHAHIDI FUNDI UMEME HADI AMEKIRI POLISI WALIDANGANYA "JAJI ASHANGAA"

Wakili wa Marekani atumwa kumtetea Lissu Mahakamani; Samia Apigwa na Mshtuko

Wakili wa Marekani atumwa kumtetea Lissu Mahakamani; Samia Apigwa na Mshtuko

🔴#LIVE: LISSU AMBANANISHA SHAHIDI WA JAMHURI ADAI HAJUI KINGEREZA

🔴#LIVE: LISSU AMBANANISHA SHAHIDI WA JAMHURI ADAI HAJUI KINGEREZA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]