KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY ( THE SCHOOL OF HEALING) 19/09/2025
Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 7924
Описание:
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY ( THE SCHOOL OF HEALING) 19/09/2025
UJUMBE WA LEO : FROM HOW TO WHO
SAFARI YENYE MAJIBU YA HOW
( KUBISHIA MAISHA )
Luka 1 : 39 - 56
39 Basi, Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda hata nchi ya milimani kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yuda,
40 akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti.
41 Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu;
42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
43 Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi?
44 Maana sauti ya kuamkia kwako ilipoingia masikioni mwangu, kitoto kichanga kikaruka kwa shangwe ndani ya tumbo langu.
45 Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.
46 Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana,
47 Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu;
48 Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
49 Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.
50 Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.
51 Amefanya nguvu kwa mkono wake; Amewatawanya walio na kiburi katika mawazo ya mioyo yao;
52 Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewakweza.
53 Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
54 Amemsaidia Israeli, mtumishi wake; Ili kukumbuka rehema zake;
55 Kama alivyowaambia baba zetu, Ibrahimu na uzao wake hata milele.
56 Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake.
HOJA ZA KIFALSAFA NA KITHEOLOJIA:
1. SAFARI YA MARIAMU KWENDA KWA ELISABETH ILIKUWA NA MAJIBU YA LI - HOW LAKE KWA SEHEMU KUBWA.....
" HOW SHALL THIS BE......."
HATUA YA AWALI YA YA KUKUSAIDIA KTK HOW YAKO ......" HOW SHALL THIS BE......" NI SAFARI YA KIMAONO NA KINDOTO.
2. ILIMGHARIMU MARIAMU KUKAA KWENYE SAFARI YA KIMAFUNZO YA MIEZI MITATU KUJIBU SWALI HILI
......" HOW SHALL THIS BE....."
HII INAITWA HOW SHALL THIS BE SAFARI OR TRIP
MARA YA MWISHO ULISAFIRI LINI SAFARI YA KIMAONO ILI KUONA UHALISIA NA KUONA NAMNA MAMBO YANAFANYIKA.
ISHI KWA UHALISIA NA SIYO HADITHI NA MISISIMKO YA PICHA.....TEMBELEA PROJECT MFANANO.
3. UKUBALI NA KUHESHIMU UWEZA WA MUNGU MAISHANI MWAKO.
BADILISHA MTAZAMO WAKO NA UKIRI WA NDANI KAMA MARIAMU:
[49]For he that is mighty hath done to me great things; and holy is his name.
Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.
KWAKUWA MWENYE NGUVU AMENITENDEA MAKUU.
ENENDA SASA MWENYE NGUVU AKAKUTENDEE MAKUU.
Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro.
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: