MUSEVENI AMTUNUKU NISHANI MWANAYE CDF kwa UJASIRI WAKE KATIKA OPARESHENI ya KIJESHI CONGO na SOMALIA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 1767
Описание:
MUSEVENI AMTUNUKU NISHANI MWANAYE CDF kwa UJASIRI WAKE KATIKA OPARESHENI ya KIJESHI CONGO na SOMALIA 📍UGANDA
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Mteule wa Uganda, Jenerali Yoweri Kaguta Museveni, amemtunuku nishani Mkuu wa Majeshi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kwa kutangaza na kutambua ujasiri wake katika operesheni dhidi ya makundi ya kigaidi nchini Somalia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), na Sudan Kusini.
Katika hafla hiyo maalumu ya kijeshi, Rais Museveni alimpongeza Jenerali Muhoozi kwa uongozi madhubuti na mchango wake mkubwa katika kuhakikisha usalama wa kikanda, hususan katika mapambano dhidi ya makundi yenye misimamo mikali na yanayotishia uthabiti wa mataifa jirani.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: