Staa Orijino Komedi aeleza kuingia kwenye Kilimo...vipi kuigiza?
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-06-10
Просмотров: 11482
Описание: Najua utakuwa mmoja wa watu wangu waliokuwa wafuatiliaji wa mabingwa wa kuchekesha wenye rekodi ya kutazamwa sana kwenye TV Tanzania tangu ZE Comedy hadi Orijino Komedi lakini ni kitambo sana hatujawaona kwenye TV huku tukijua shughuli za baadhi yao na wengine hatujui wanafanya nini kwa sasa…tumempata Wakuvanga ambaye anatueleza shughuli zake kwa sasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: