USIOGOPE MANENO YA WATU, ZINGATIA NA UELEWE CHANZO CHAKE | Michael Kamukulu
Автор: LENZI | Michael Kamukulu
Загружено: 2025-05-08
Просмотров: 1352
Описание:
USIOGOPE MANENO YA WATU ZINGATIA NA UELEWE CHANZO CHAKE | @lenzi.michaelkamukulu
“Kwenye safari ya maisha, kila mtu atakuwa na la kusema. Wengine watakukosoa, wengine watakubeza, na wengine hawatakuelewa kabisa. Lakini swali la msingi ni hili – je, unajua kwanini kelele hizo zipo? Na je, unajua zinakuficha na kukuzuia kuona nini?”
Leo, kupitia kwenye Chanel hii ya @lenzi.michaelkamukulu nataka nikuambie jambo moja kubwa – usiogope maneno ya watu. Kelele zao si za kweli – ni vumbi tu linalojaribu kufunika thamani yako halisi. Lakini ukiweza kuelewa chanzo cha hizo kelele, utajua jinsi ya kupita katikati yake bila kuyumbishwa.”
Kumbuka hili daima – kelele hazimaanishi ukweli, na maneno ya watu hayawezi kubadilisha hatima yako isipokuwa ukiyapa nafasi. Uhalisia wako upo ndani yako, na ni jukumu lako kuutetea, kuutambua na kuuishi kwa ujasiri.”
Asante kwa kutazama hadi mwisho. Kama umejifunza kitu leo, usiache kuweka comment yako hapa chini, kushare na mtu mwingine anayehitaji kusikia ujumbe huu, na hakikisha ume-subscribe ili usikose video inayofuata – maana safari ya kujitambua na kubadilika bado inaendelea!”
***
Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu na @lenzimeacademy ili uweze kupata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.
———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:
1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)
Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: [email protected]
* *
Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk
#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy
TIME STAMP
00:00 kuwa makini na maneno sio sauti
00:58 kelele zinaficha uhalisia
6:24 usidanganyike na ukimya
6:40 alama za nyakati
6:50 Closing
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: