MAKOSA MATANO YA KUEPUKA KATIKA UFUGAJI WA KUKU
Автор: STREAMORE
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 97
Описание:
Ufugaji Smart ni kipindi kinacholenga kutoa elimu na mbinu bora na za kisasa ili kuchochea ufugaji bora na wenye tija.
Kipindi hiki kipo kuwasaidia wafugaji wanaoanza, waliopo, na wanaotaka kufuga kibiashara na kwa ufanisi zaidi.
Utajifunza Nini:
•Aina mbalimbali za kuku na sifa zake kuku wa mayai, nyama, chotara na kienyeji
Lishe bora na Ulishaji sahihi
Usimamizi na Uendeshaji bora wa miradi ya kuku
Afya ya kuku, Magonjwa na kinga dhidi ya magonjwa
Mbinu za kuongeza uzalishaji, faida na masoko.
Changamoto za ufugaji na namna ya kuzitatua
Mawasiliano:
phone: +255 758 744 107
Instagram: / ufugaji_smart
TikTok: / ufugaji_smart
WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vb6D...
Facebook: / 16wkgnvcq8
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: