BENKI YA TCB KUTOA MIKOPO BILA DHAMANA KWA WAKANDARASI
Автор: Tanzania Commercial Bank
Загружено: 2024-09-02
Просмотров: 822
Описание:
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Adam Mihayo akielezea mpango wa benki hiyo kutoa mikopo bila dhamana kwa wakandarasi wakati akieleza namna taasisi yake ilivyotekeleza maagizo ya Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa kikao kazi cha wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma jijini Arusha.
#TCBBank
#BenkiInayomuelewaMtanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: