🌑 KISIMA CHA DAMU |Hadithi ya Kutisha ya Kiswahili | Simulizizakusisimua
Автор: TAMUUSTORY . 775K . Views
Загружено: 2025-09-27
Просмотров: 143
Описание:
🌑 KISIMA CHA DAMU: KIU ISIYOISHA 🌑
Kijiji cha Kivulini kilibeba siri ya giza kwa karne nyingi. Katikati yake kulikuwa na kisima ambacho hakikuwa na maji ya kawaida… bali damu ya waliotoweka! 😱🩸
Hadithi ya hofu na laana ya vizazi inayoendelea kusumbua roho za watu wa Kivulini. Je, utathubutu kusikiliza mwisho wake? Au utasikia sauti ikikuita kutoka gizani…
Kupitia link hii apa uta jipatia simulizi kali ya kisima cha damu • 🌑 KISIMA CHA DAMU |Hadithi ya Kutisha ya K...
⚰️ Usiku huu, giza linaamka tena.
⚠️ Ukiisikia sauti kutoka kisimani—USIJIBU.
👉 Subscribe ili usikose simulizi zingine za kutisha na laana zisizoisha.
🔔 Washa kengele kupata hadithi mpya kila wiki.
kisima cha damu ,hadithi za kutisha , simulizi za kutisha
horror story swahili ,swahili horror , laana ya damu
kivulini village , simulizi za usiku , hadithi za usiku ,horror kiswahili
scary story swahili , simulizi za kutisha 2025 , horror movie style
mlinda kisima , simulizi za hofu , hadithi za laana
vizazi vya giza , blood well horror
african horror story , kisima cha damu kiuisiyoisha
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: