Filamu ya Ukeketaji: Simulizi ya Kweli ya GHATI na RHOBI
Автор: Children's Dignity Forum-CDF Tanzania
Загружено: 2025-04-03
Просмотров: 13724
Описание:
2015- Simulizi ya Kweli ya GHATI na RHOBI
Wasichana wawili (Ghati na Rhobi) wanaonesha uhodari kwa kukataa ukeketaji ambao una madhara makubwa. Ujasiri wao unaleta mabadiliko kwenye jamii zao.
Filamu hii inahusu matukio ya kweli ya wasichana wanaokimbia ukeketaji na kuhifadhiwa katika vituo salama vinavyosaidiwa na CDF Tanzania na Forward UK.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: