UKWELI MCHUNGU! Maeneo 5 Yanayomaliza Mitaji ya Wafugaji Wengi
Автор: KingoFarm
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 251
Описание:
Wafugaji wengi wanaanza kwa matumaini makubwa… lakini baada ya miezi michache mtaji unaisha 😢
Ukweli mchungu ni huu: Kuna maeneo 5 yanayoongoza kwa kumaliza pesa za wafugaji wengi bila wao kujua!
Kwenye video hii nitakueleza kwa undani:
✅ Jinsi chakula kinavyoweza kula faida yako kimyakimya
✅ Makosa yanayosababisha magonjwa na vifo vya kuku
✅ Banda lisilo sahihi linavyoongeza hasara
✅ Kwa nini kukosa soko la uhakika ni hatari
✅ Umuhimu wa kufanya hesabu (record keeping)
Ukifahamu haya mapema, utaokoa mtaji wako na utaongeza faida kwa kiwango kikubwa.
🎯 Kama wewe ni mfugaji au unapanga kuanza kufuga, video hii ni lazima uitazame mpaka mwisho.
📌 Andika kwenye comment:
“Eneo gani limekuwa likikupa hasara zaidi?”
👍 Like | 🔁 Share | 🔔 Subscribe kwa mafunzo zaidi ya ufugaji yenye faida halisi.
#Ufugaji #KukuWaKienyeji #BiasharaYaUfugaji #KilimoBiashara
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: