BIBI ABUBUJIKWA MACHOZI MADAI YA FIDIA KIPUNGUNI
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-07-10
Просмотров: 557
Описание: Wakazi wa Kipunguni Mashariki Ilala Dar es Salaam, wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia waliyoahidiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ili kupisha uendelezaji wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kuomba serikali kuingilia kati ili waweze kulipwa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: