ULEGA AMBANA MKANDARASI DARAJA LA LUKULEDI, AMPA MIEZI MITATU LIKAMILIKE
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2025-01-11
Просмотров: 1024
Описание:
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi.
Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika barabara hiyo na kusisitiza kuwa fedha zipo hivyo ni wajibu wa mkandarasi kuongeza kasi ili wana Ruangwa na Nachingwea wanufaike na mradi huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: