ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

BARABARA YA UKUTINI PEMBA MAOMBI YA WANANCHIWALIYOOMBA KUJENGEWA BARABARA KATIKA MAENEOMBALI MBALI.

Автор: Tifu Tv

Загружено: 2025-01-10

Просмотров: 3477

Описание: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapimduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeamua Kuongeza idadi ya barabara zitakazojengwa Kwa kiwango cha Lami Hadi kufikia Kilomita 300 Mijini na Vijini..

Rais Dk, Mwinyi ametoa tamko hilo alipoifungua Barabara ya Ukutini -Bandarini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba .

DK, Mwinyi ameeleza kuwa Uamuzi huo umefikiwa na Serikali Kufuatia Kuongezeka kwa Maombi ya Wananchi waliyoomba
Kujengewa Barabara katika Maeneo mbali mbali.

Amefahamisha kuwa Serikali imevuka lengo la Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 ilioainisha Ujenzi wa Kilomita 275 za barabara.

Akizungumzia barabara ya Ukutini -Mtangani Bandarini alioifungua Amesema ni hatua Muhimu ya Kufungua fursa za Kiuchumi na kuimarisha fursa za kijamii.

"Tutakuwa tumewagusa Wananchi kwani Barabara ni Uchumi" alisisitiza Dk,Mwinyi.

Amefahamisha Kuwa mbali na Usafiri barabara hiyo ya Ukutini - Bandarini itafungua Fursa za Ajira kwa kuwa Kuna Bandari na Hoteli katika Eneo hilo pamoja kurahisisha Upatiikanaji wa huduma za kijami ikiwemo Hospital , Skuli na Usafirishaji

Rais Dk,Mwinyi ameeleza kuwa Mkataba wa Wananchi na Serikali yao ni Ilani ya Uchaguzi hivyo kuna kila sababu ya kujivunia kwa yote yaliofanyika Katika Ujenzi wa Barabara.

Rais Dk, Mwinyi ameipongeza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa Usimamizi Mzuri wa Ujenzi wa Barabara Vijijini na Mijini Unguja na Pemba.

Ufunguzi wa Barabara hiyo kunakamilisha Idadi ya Kilomita 85.5 za Barabara zilizojengwa katika Mkoa wa Kusini Pemba.

Naye Waziri wa Ujenzi ,Mawasilaino na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Muhammed amewahakikishai Wananchi kuwa Serikali haina Unaguzi katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo hususan Ujenzi wa Barabara na kwamba zote za Mkoa wa Kusini Pemba ziliyomo katika Mpango wa Ujenzi zitajengwa kwa Awamu .

Barabara ya Ukutani - Bandarini yenye Kilomita 4.6 iliojengwa na Kampuni ya IRIS Inakisiwa kugahrimu Dola Millioni 2.658 ni miongoni mwa Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Ndani zenye Urefu wa Kilomita 275 .9.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
BARABARA YA UKUTINI PEMBA MAOMBI YA WANANCHIWALIYOOMBA KUJENGEWA BARABARA KATIKA MAENEOMBALI MBALI.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#live: UFUNGUZI WA BARABARA YA UKUTINI KM (4.0)

#live: UFUNGUZI WA BARABARA YA UKUTINI KM (4.0)

MHE. HEMED ATOA SIKU KUMI (10) KUANGAMIZWA AU KURUDISHWA ZILIPOTOKA BIDHAA ZILIZOPITWA NA WAKATI

MHE. HEMED ATOA SIKU KUMI (10) KUANGAMIZWA AU KURUDISHWA ZILIPOTOKA BIDHAA ZILIZOPITWA NA WAKATI

ZANZIBAR KUZALISHA UMEME WA UPEPO

ZANZIBAR KUZALISHA UMEME WA UPEPO

DR. MWINYI ATOA MSAMAHA KWA WANAFUNZI 33 WALIYOKUWA WAKITUMIKIA CHUO CHA MAFUNZO ZANZIBAR

DR. MWINYI ATOA MSAMAHA KWA WANAFUNZI 33 WALIYOKUWA WAKITUMIKIA CHUO CHA MAFUNZO ZANZIBAR

DK. MWINYI AWAFIKIA KIJIJI CHA MLETENI KWA MAENDELEO.

DK. MWINYI AWAFIKIA KIJIJI CHA MLETENI KWA MAENDELEO.

BAWE KISIWA KINACHOVUTIA MAMILIONI YA WATALII ZANZIBAR, UZURI WA HOTEL MPYA YA KISASA

BAWE KISIWA KINACHOVUTIA MAMILIONI YA WATALII ZANZIBAR, UZURI WA HOTEL MPYA YA KISASA

Makala maalumu ya Uwekezaji na Utalii Kisiwa cha Pemba, 2023 | Miradi mikubwa usiyoijua hii hapa |

Makala maalumu ya Uwekezaji na Utalii Kisiwa cha Pemba, 2023 | Miradi mikubwa usiyoijua hii hapa |

HATUWEZI KUJENGA BARABARA KIWANGO CHA LAMI   HALAFU TAA ZITUSHINDE

HATUWEZI KUJENGA BARABARA KIWANGO CHA LAMI HALAFU TAA ZITUSHINDE" ALISEMA DK, MWINYI PEMBA

MAKALA MAALUMU YA MAFANIKIO YA ZAO LA KARAFUU - ZSTC

MAKALA MAALUMU YA MAFANIKIO YA ZAO LA KARAFUU - ZSTC

NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ZANZIBAR  AKAGUA BARABARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ZANZIBAR AKAGUA BARABARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

@vugaonlinetv: DAKIKA 36 ZA Mhe OTHMAN MASOUD #KIWANI #PEMBA KATIKA MKUTANO WA HADHARA 30.01.2025

@vugaonlinetv: DAKIKA 36 ZA Mhe OTHMAN MASOUD #KIWANI #PEMBA KATIKA MKUTANO WA HADHARA 30.01.2025

Jazira, Kitwana wajichanganya, OMO awakaanga hadharani | GUMZO LA LEO

Jazira, Kitwana wajichanganya, OMO awakaanga hadharani | GUMZO LA LEO

ПРЕЗИДЕНТ МВИНЬИ ОБЪЯВИЛ, ЧТО КОМИССИЯ ПРОВЕРИТ ВСЕ КОМПЕНСАЦИИ, ПРЕДОСТАВЛЕННЫЕ ГРАЖДАНАМ

ПРЕЗИДЕНТ МВИНЬИ ОБЪЯВИЛ, ЧТО КОМИССИЯ ПРОВЕРИТ ВСЕ КОМПЕНСАЦИИ, ПРЕДОСТАВЛЕННЫЕ ГРАЖДАНАМ

ПРЕЗИДЕНТ МВИНЬИ ГОВОРИТ, что ЗАНЗИБАР ИЗМЕНИТСЯ В 2026 ГОДУ

ПРЕЗИДЕНТ МВИНЬИ ГОВОРИТ, что ЗАНЗИБАР ИЗМЕНИТСЯ В 2026 ГОДУ

RAIS DKT. MWINYI AZINDUA JENGO JIPYA LA KISASA LA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

RAIS DKT. MWINYI AZINDUA JENGO JIPYA LA KISASA LA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

DK. MWINYI MUARUBAINI WA ELIMU YA JUU KISIWANI PEMBA

DK. MWINYI MUARUBAINI WA ELIMU YA JUU KISIWANI PEMBA

🔴TSC: CHAKECHAKE CITY TOUR IN PEMBA ZANZIBAR | A DAY IN EPISODE 13

🔴TSC: CHAKECHAKE CITY TOUR IN PEMBA ZANZIBAR | A DAY IN EPISODE 13

#live: UFUNGUZI WA BARABARA YA UKUTINI KM (4.0) 10/01/2025

#live: UFUNGUZI WA BARABARA YA UKUTINI KM (4.0) 10/01/2025

RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA

RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA

СПЕЦНАЗОВСКАЯ ВДОВА — ОХОТА НА “КРОТА”, КОТОРЫЙ УБРАЛ ЕЁ МУЖА 🔥 | РУССКИЙ ШПИОНСКИЙ БОЕВИК 2026

СПЕЦНАЗОВСКАЯ ВДОВА — ОХОТА НА “КРОТА”, КОТОРЫЙ УБРАЛ ЕЁ МУЖА 🔥 | РУССКИЙ ШПИОНСКИЙ БОЕВИК 2026

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]