😂 Kibakuli Ajigeuza Mganga, Wateja Wamkimbia!
Автор: KIBAKULI COMEDY
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 57
Описание:
😂 Karibu Kibakuli Comedy Official!
Leo mambo yamebadilika —
KIBAKULI ndiye MGANGA wa mtaa 🤣🔮
Anatoa dawa za mchongo,
utabiri wa kubahatisha,
na ushauri wa ajabu unaowaacha wateja midomo wazi 😂
Lakini mwisho wake mambo yanageuka na mganga mwenyewe anaingia matatani!
Kichekesho hiki cha mtaani kitakuvunja mbavu!
👉 TAZAMA HADI MWISHO
👍 Like
🔁 Share
🔔 Subscribe kwa vichekesho vipya kila siku
Comment:
Ungeenda kwa mganga kama huyu? 😆
#KibakuliComedy
#MgangaWaMchongo
#Vichekesho
#TanzaniaComedy
#FunnyTz
#Shorts
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: