Maombi na Maombezi 06 - 02 - 2026 | Mwl. Kelvin Saro
Автор: Azania Front Cathedral
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 267
Описание:
Karibu katika Ibada ya ya Maombi na Maombezi kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam.
SOMO: MAMBO YA KUZINGATIA MUNGU ANAPOKURUHUSU KUINGIA MAJIRA MAPYA
.........................................................................................
▶️▶️▶️▶️MAMBO YA KUZINGATIA;
🖋️1. MUNGU analenga umzalie matunda
LUKA 13: 6 - 9
6. Akanena mfano huu; Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta matunda juu yake, asipate.
7. Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda juu ya mtini huu, nisipate kitu; uukate, mbona hata nchi unaiharibu?
8. Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;
9. nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate.
YOHANA 15: 1 - 8
1. Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.
2. Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
3. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
4. Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu.
5. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.
6. Mtu asipokaa ndani yangu, hutupwa nje kama tawi na kunyauka; watu huyakusanya na kuyatupa motoni yakateketea.
7. Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa.
8. Hivyo hutukuzwa Baba yangu, kwa vile mzaavyo sana; nanyi mtakuwa wanafunzi wangu.
KUMZALIA MUNGU MATUNDA: Ni kuwaleta watu zizini au kuwaleta watu kwa YESU
AU Kuwaimaraisha waliyopo zizini (Kuwafundisha).
MATHAYO 28: 19 - 20
19. Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20. na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
KUTOKA 13: 21
KUTOKA 32: 1
ISAYA 45: 1
EZRA 8: 21
AYUBU 19: 8
2. Anakufungulia Milango mabalimbali mbele yako
ISAYA 45: 1 - 3
1. Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa.
2. Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata-kata mapingo ya chuma;
3. nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.
YOSHUA 1: 5
5. Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha.
3. Kupigana vita mbele yenu
TORATI 1: 30
KUTOKA 23: 27 - 29
...............................................................
👇👇👇
KWA MAOMBI NA USHAURI :
☎️ +255 748 290 290 - MCH. VICTOR MAKUNDI
// NAMBA ZA SADAKA //
▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4
▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
▶ MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL
TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page:
/ kkkt_azaniafront_cathedral
Website: https://www.azaniafront.org/
Facebook:
/ kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079
#azaniafrontcathedral #lunchhour #lutheran
........................
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: