IBADA YA TATU | JUMAPILI | 08 / 02 / 2026
Автор: Azania Front Cathedral
Загружено: 2026-02-08
Просмотров: 173
Описание:
Karibu katika Ibada ya Jumapili, siku ya Bwana ya Nane kabla ya Pasaka, kutoka hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam.
SOMO: NENO LA MUNGU LI HAI
🖋️ Masomo
ZABURI 107: 20 - 24, MARKO 1: 29 - 31, 2 WAKORINTHO 2: 12 - 17
▶️MHUBIRI: Rev: Ernest Kadiva
.......................................................
ZABURI 107: 20 - 24
20. Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.
21. Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.
22. Na wamtolee dhabihu za kushukuru, Na kuyasimulia matendo yake kwa kuimba.
23. Washukao baharini katika merikebu, Wafanyao kazi yao katika maji mengi,
24. Hao huziona kazi za BWANA, Na maajabu yake vilindini.
MARKO 1: 29 - 31
29. Na mara walipotoka katika sinagogi, walifika nyumbani kwa Simoni na Andrea, pamoja na Yakobo na Yohana.
30. Naye mkwewe Simoni, mamaye mkewe, alikuwa kitandani, akiugua homa; na mara wakamwambia habari zake.
31. Akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akaanza kuwatumikia.
2 WAKORINTHO 2: 12 - 17
12. Basi nilipofika Troa kwa ajili ya Injili ya Kristo, nikafunguliwa mlango katika Bwana,
13. sikuona raha nafsini mwangu, kwa sababu sikumwona Tito ndugu yangu, bali niliagana nao, nikaondoka kwenda Makedonia.
14. Ila Mungu ashukuriwe, anayetufanya tushangilie ushindi daima katika Kristo, na kuidhihirisha harufu ya kumjua yeye kila mahali kwa kazi yetu.
15. Kwa maana sisi tu manukato ya Kristo, mbele za Mungu, katika wao wanaookolewa, na katika wao wanaopotea;
16. katika hao wa pili harufu ya mauti iletayo mauti; katika hao wa kwanza harufu ya uzima iletayo uzima. Naye ni nani atoshaye kwa mambo hayo?
17. Kwa maana sisi si kama walio wengi, walichuuzao neno la Mungu; bali kama kwa weupe wa moyo, kama kutoka kwa Mungu, mbele za Mungu, twanena katika Kristo.
........................................................................................................................................
👇👇👇
KWA MAOMBI NA USHAURI :
☎️ +255 748 290 290
MCH. VICTOR MAKUNDI
// NAMBA ZA SADAKA //
▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4
▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
▶ MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL
TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page:
/ kkkt_azaniafront_cathedral
Website: https://www.azaniafront.org/
Facebook:
/ kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079
#azaniafrontcathedral #lunchhour #lutheran
........................
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: