EXCLUSIVE: MWENYE NDOTO YA URUBANI ADA TSH MILIONI 100, KUTANA WATANZANIA WALIOILETA NDEGE YA ATCL
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-12-22
Просмотров: 49446
Описание: Moja kati ya ndoto za vijana wengi ni pamoja na kusoma Urubani ambapo vyuo vingi vipo nje ya nchi, leo Ayo TV inakukutanisha na marubani wawili wa Tanzania wanaofanya kazi ATCL Captain Suad na First Officer Suleiman wameeleza kwa kina kuhusiana na taaluma ya urubani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: