Lissu Aibua Hoja Tatu Mpya, Mahakama Kutoa Uamuzi Mdogo Kwenye Mapingamizi yake Februari 11, 2025
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 17166
Описание:
Kesi ya Uhaini Namba. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeendelea leo Jumatatu Februari 9, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Kesi hiyo inayosikilizwa na jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru, ilikuja kwa ajili ya upande wa Jamhuri kujibu mapingamizi yaliyowasilishwa na mshtakiwa kuhusu matumizi ya shahidi wa siri (PW11) na kizimba cha siri kilichopo ndani ya chumba cha Mahakama.
Baada ya kusikiliza hoja kutoka pande zote mbili, Mahakama imeahirisha kesi hiyo hadi Jumatano Februari 11, 2026, kwa ajili ya kutolewa uamuzi wa mapingamizi hayo na kuendelea na ratiba nyingine za shauri hilo.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: