Bwege Atinga Kwenye Kesi ya Lissu ‘Tunaamini Kabisa Hii ni Kesi ya Kubambikiwa, Siyo ya Haki’
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 28972
Описание:
Mwanasiasa Selemani Bungara (Bwege) amefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kufuatilia mwenendo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
Akizungumza nje ya Mahakama, Bwege amesema kuwa wanaamini kwa asilimia 100 kuwa kesi hiyo siyo kesi ya haki, bali ni kesi ya kubambikiwa, akisisitiza kuwa mwenendo wa shauri hilo unaacha maswali mengi kuhusu haki, uhuru wa Mahakama na matumizi ya shahidi wa siri.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: